Asali Mbichi Toka Tabora inauzwa,

Asali Mbichi Toka Tabora inauzwa,

authentic05

Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
89
Reaction score
83
Zipo Zaidi ya Lita 500
Mahala: Dsm
Price 10,000/- kwa Lita.
Serious buyer Tuwasiliane kwa Namba
+255715631811
Karibuni.
 
Nina asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka Tabora. Natafuta wateja wa jumla .nauza kwa dumu la 20 lita sh180000/= ipo mpanda
 
Hivi tofauti ya asali mbichi na ilopikwa ni ipi...
Ipi ni nzuri ipi inafaa kiafya, kama dawa.
Ipi inadumu muda mrefu...
Mfano barabarani umekuta mbichi hapa na ilopikwa pale utachukua ipi na kwanini...
Kwa kifupi ipi ni bora kati ya hizo. Je zote huwa zina quality sawa??
Na je zinauzwa bei sawa??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom