Asali inapatikana

Asali inapatikana

belu

Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
53
Reaction score
9
habari zenu wapendwa
nauza Asali mbichi ya nyuki Wa kubwa kutoka katavi. haija chakachuliwa..Lita moja 12,000 nakuletea popote ulipo tuwasiliane kwa 0718632033
asanten
 
Safi sna niletee hapa Murusagamba ,afu utampelekea na sheemeji zangu kule Mpigamiti na kwa wakwe Ng'ongo ya Mpiti! Pia kuna rafiki yangu anahitaji kule Nsololo ! WOTE WANATAKA LITA 20 KILA MMOJA!
 
Safi sna niletee hapa Murusagamba ,afu utampelekea na sheemeji zangu kule Mpigamiti na kwa wakwe Ng'ongo ya Mpiti! Pia kuna rafiki yangu anahitaji kule Nsololo ! WOTE WANATAKA LITA 20 KILA MMOJA!

asante nashkr ki ustaarabu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom