salumu isa
Member
- Mar 22, 2019
- 31
- 6
Ndugu zangu Mimi natafuta kazi nipo dar es salaam Mimi nifundi chuma steel fixer 0759154798
Mkuu kwani huo mradi wa ubungo umekamilika?au ilikuwaje ukaacha kazi kwa hao wachina?Ndugu zangu Mimi natafuta kazi nipo dar es salaam Mimi nifundi chuma steel fixer 0759154798 View attachment 1078915View attachment 1078917
Mkuu kwani huo mradi wa ubungo umekamilika?au ilikuwaje ukaacha kazi kwa hao wachina?
Wsalaam, mzee wa vyuma vuta subira wanakuja kukupa moyo na kukuvunja pia jiandae kisaikolojia.
Kila la kheir
Wanazingua mshahara mdogo au ni wagumu kulipa kaka?Kiukweli wachina wanazingua kimafedha wababaishaji
Kiukweli mshaara mdogo pia pesa ya makato yako ya nssf awakuwekei mpaka mvutane sana aki zako kama mfanyakazi awakupiWanazingua mshahara mdogo au ni wagumu kulipa kaka?
Dah wanaboa sanaKiukweli mshaara mdogo pia pesa ya makato yako ya nssf awakuwekei mpaka mvutane sana aki zako kama mfanyakazi awakupi