Ungeweza pia kuandika kwenye social media za Muzungu huko mtakutana, kwani hayo maisha unayoyazungumzia siyo ya TZ na haiwakilishi maisha ya Mtanzania hivyo ukiniuliza mimi umepotea njia, tafuta websites za akina Opra O magazine utakutana na wenzako huko, hata hivyo kila la heri, ...