12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,190
- 409
Ukipita kila kona ya barabara na mitaa ndani ya jiji la Arusha utakutana na bendera za kijani.
Ukweli CCM imechanganyikiwa katika jimbo hili ambalo GODBLESS LEMA amesima tena kuwania UBUNGE kupitia CHADEMA/UKAWA katika jimbo hili lenye Utajiri mkubwa sana wa kila namna,Upande wa CCM wamemsimamisha Tajiri mmoja anayemiliki Kampuni ijulikanayo kwa jina la MONABAN ilioko ndani yamajengo ya NMC.
Nionavyo ama nijuavyo mimi CCM wana kazi ngumu sana kwao kulirejesha jimbo,Propaganda za kujitumainisha kwamba watalirudisha Jimbo la Arusha kwa HAKIKA HIZO NI NDOTO ZA MCHANA.
Nawapa CHADEMA nafasi ya kushinda kwa 99.9%.
Sababu zakushinda kwa CHADEMA katika jimbo hilo la Arusha ziko wazi na Wenye Hekima watanielewa kirahisi ila Wapumbavu watakaza misuli kutofautiana nami.
1.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulishaonesha nami ni mbabe (CHADEMA) katika Jimbo la Arusha.
2.Uchaguzi Mkuu 25 Octoba 2015 (URAIS NA MADIWANI) UNATHIBITISHA KUWA NI KWELI SASA CCM HAWANA CHAO ARUSHA.
3.Wana wa Arusha KUKATA TAMAA HILO SIO FUNGU LAO,Kura zitapigwa na wako makini kauli yao NI LEMA TENA 2015.
4.CHADEMA Wamejipanga vizuri kwenye usimmizi wa upigaji kura mpaka uhesabuji na mshindi kutangazwa.
5.Wananchi wameelimika KULA KWA MONABAN/PHILEMON MOLLEL KURA WAPE WAJANJA CHADEMA/LEMA.
Kutundika mabendera mengi huku mkitumia gharama kubwa kwenye Campaign zinazoonesha MNASHINDWA ni Aibu sana na kujiongezea maumivu yasiyo ya lazima.
Utampaji KURA mtu ambaye ana DIWANI MMOJA TU???
Alisikika maa mmoja akiongea karibu yangu,Siwezi muache Lema amefanya kazi kubwa Leo Arusha ina Madiwani 24.
ARUSHA YA CHADEMA/UKAWA,MSISAHAU NI LEMA TENA 2015.