"Kwa kifupi maandamano hayatusaidii kitu chochote".
Si mmemsikia Rastafarian huyo muendesha bajaji, Arusha.
Ametoa onyo, na amewashauri pia wale watu wengine wanajazwa maneno ambayo hayana maana.
"Baba apige kazi"
"Hatuandamani" "Arusha hatutaki maandamano". Makofi, Miluzi na Vigelegele.
Habari ndio hiyo