S superfisadi JF-Expert Member Joined May 22, 2009 Posts 553 Reaction score 54 Aug 23, 2013 #1 Walikuwa wawili. kwenye gari maeneo ya pangani wamewahishwa hospital ya. Mt meru
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,742 Reaction score 8,187 Aug 23, 2013 #2 hii ndio hatari ya kuandika thread tu ili uwe wa kwanza kuripoti,...habari haijakamilika wala haieleweki kabisaaaaa
hii ndio hatari ya kuandika thread tu ili uwe wa kwanza kuripoti,...habari haijakamilika wala haieleweki kabisaaaaa
S superfisadi JF-Expert Member Joined May 22, 2009 Posts 553 Reaction score 54 Aug 23, 2013 Thread starter #3 Wameiba hela walizokuwa nazo kwenye gari waliopiga risasi walikuwa na toyo
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Aug 23, 2013 #4 Duh... Mimi nimesikia kuna jamaa wa mawe anaitwa Abel na mwenzake wamevamiwa na majambazi leo ,wameumizwa na kwa sasa wako hospital.
Duh... Mimi nimesikia kuna jamaa wa mawe anaitwa Abel na mwenzake wamevamiwa na majambazi leo ,wameumizwa na kwa sasa wako hospital.
MIDFIELD JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,944 Reaction score 703 Aug 23, 2013 #5 superfisadi said: Walikuwa wawili. kwenye gari maeneo ya pangani wamewahishwa hospital ya. Mt meru Click to expand... Wewe itakuwa darasa la pili C. Habari fupi haina vielezi wala viambishi. Toa habari iliyokamilika ndg yangu, kama huna acha. Pangani ya wapi sasa! Tanga au! maana Mt. meru hosp ipo Arusha, kwa hiyo wametoka tanga na kuwaleta arsha aU!
superfisadi said: Walikuwa wawili. kwenye gari maeneo ya pangani wamewahishwa hospital ya. Mt meru Click to expand... Wewe itakuwa darasa la pili C. Habari fupi haina vielezi wala viambishi. Toa habari iliyokamilika ndg yangu, kama huna acha. Pangani ya wapi sasa! Tanga au! maana Mt. meru hosp ipo Arusha, kwa hiyo wametoka tanga na kuwaleta arsha aU!