Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO ( CHADEMA )
WILAYA YA ARUSHA MJINI
S.L.P 12525, NGARENARO - ARUSHA
Wah Viongozi wa Chama ngazi mbali mbali,
Ndugu Wanachama, Wapenzi, Wafuasi wa CHADEMA na Wananchi wote,
WILAYA YA ARUSHA MJINI.
Salaam,
Ninapenda kuchukua fursa hii kuwafahamisha kuwa Zoezi la Kampeni ya Uchaguzi limeanza rasmi tarehe 03/04/2016 mpaka tarehe 16/04/2016
Uzinduzi wa Mikutano ya Kampeni ni kama ifuatazo;
LEO JUMAOSI TAREHE 09/04/2016
1. DARAJA II - SANARE - Eneo la Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa SANARE, Kwa Selemani
2. ELERAI - MAMA MUSA - Eneo Nyuma ya Shamoo Car wash
3. MAKAO MAPYA - Eneo Peponi
Tunaomba Wananchi wote wa maeneo husika na Wakazi wa Jiji la Arusha kujitokeze kwa wingi kuhudhuria Mikutano hii
Imetolewa na ;
KURUGENZI YA HABARI NA MAWASILIANO
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO