Jiji la arusha limelipuka baada mahakama ya rufaa kumrudishia lema ubunge jiji limelipuka kwa shangwe na nderemo huku wangine wakikimbilia kia na wengine wakikimbilia uwanja wa ndege kisongo
kwasasa barabara zimefungwa na mlolongo wa magari ni jamu kila kona
polisi tiyari wameanza kurandaranda mitaani wakiangalia usalama
shamrashamra za xmas ndio zimeanza leo rasmi,