Arusha: Kuna ajali imetokea Nduruma Daraja

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,956
Reaction score
63,759

Ajali imetokea nduruma darajani, kwa bahati mbaya tumempoteza dada mmoja. Basi limefail break ikagonga daladala. Poleni wote
 
Nduluma ndio wapi? Halafu toa habari kamili bhana
 
Eee Mungu tuokoe!!!
Kuna madhara yoyte yaliyotokea??? Kama kuna majeruhi au wote wametoka salama???
 
Nduruma ninayoijua mimi iko Arusha sasa sijui kama mleta uzi huu anaizungumzia hiyo!
 
Nduruma Barabara ya arusha moshi, mto nduruma aka mto chunusi kwa sababu ajali nyingi hutokea hapo na kuua watu wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…