Arusha imetakata na CCM

Nadhani mpaka hapa majibu ya watanzania umeyapata sina haja kuongeza neno walisemaga wahenga ishakumu sii matusi
 
Hiki cheo cha mkuu wa mkoa kimekaa kisiasa siasa...katiba mpya pekee ndiyo itayo tuondolea huu upuuzi wa mambo ya kikoloni.
 
Mmeona hamsifiwi mmeamua kujisifia wenyewe ee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi SNA Mungu awaongoze wazidi kutenda mazuri viongozi wenu japo arusha mji wa kitarii
 
Naona umetumwa na wsukuma ars sio ya machoko layoni mkubwa ww
 
Hakuna wa kuiondoa CDM Arusha naawambia! Gambo ni umbea tu anaendekeza Ar hana lolote na hawezi iinua ccm kabisa!
 
usisahau kwamba Arusha kuna diwani mmoja tu,wa ccm waliobakia wote ni wa chadema wanaoamua kwenye vikao tuaifanyie nini Arusha kimaendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…