Wana JF,
........................................
Je Jeshi la Polisi lakosa wataaramu wa kupanga mikakati ya kimitego na kuwakamata hawa majambazi? Je ni wakazi wa mji huo wa Arusha au Police watasingizia ni Watu toka kenya? Na kama ni mtu toka kenya anamjuaje huyo mama kuku? na anakaa wapi?