Arusha hakuna Dola kabisa!

Niko hapa arusha kikazi kama wiki sasa!

Kilicho nishangaza ni kwamba USD hakuna kabisa, yani kuanzia maduka ya kubadili fedha mpaka benki zote hakuna!

Sasa najiuliza, je hii ni kawaida?
Si tulisikia wamerudishiwa hela zao!!? Sasa wamepeleka wapi??? Kwanini mlimtukana JPM?

Ha ha haaa wahuni siyo watu
 
Ina maanisha utalii Arusha imeshuka Sana kwasababu ya propaganda za utalii wa Zanzibar....it doesn't make sense brother
Yaani inashangaza kabisa, ni uongo wa dhahiri uliopikwa kimajungu majungu
 
Mama amefungua uchumi sasa dolla kwanini hazipo?wakati WA dictiteta watalii hawakuwepo na COVID na miaada na mikopo ikakatwa lakini dolla zilikuwrpo.Nini kimetikea wakati kila kitu Hali ni nzuri
Akili zako ni ndogo sawa na Mwandazake
 
Alafu Mwigulu Nchemba aliwalipa wafanyabiashara wa Arusha dola za kutosha, kwa kisingizio kwamba walinyang'anywa na Magufuli
Kama kweli aliwapa basi alifanya jambo zuri, kwani yule muovu Jiwe aliwatenda vibaya sana
 
Nikajua dola serikali kumbe dollar USD ya mabeberu. Hiyo sio Arusha pekee hata huku Dar ukienda hata $500 kupata ni mzozo.

N:B watanzania tumieni madafu achaneni na dollar
Unaweza kuagiza machines za kufanyia kazi zako kutoka China kwa madafu?? watu wanataka dollar kwa ajiri ya importation sio kununua kilo ya nyama, nchi haina mafuta tatizo ni hilo hilo hatuna dollar, bila dollar uchumi utaanguka vibaya sana
 
Ina maanisha utalii Arusha imeshuka Sana kwasababu ya propaganda za utalii wa Zanzibar....it doesn't make sense brother
Basi hizi ndege ziache kufaulisha kutoka Zanzibar to Arusha or kwenye parks and safari en route same day tuone kama wageni watalala hapo airport ili kesho waanze safari asubuhi kwa utulivu!
Ratiba ya hizi domestic flights sio rafiki kwa uchumi wa utalii kwa mzawa wa chini!
Flights zote zitoke jioni ama sivyo muundo wa itineraries uanze na layover kesho safari zianze sio tua dandia gari kimbia ruka haifai hii inamnyima mtalii kuifurahia na kuijua nchi!
 
Kuna mambo umeyaandika, ni ya kweli na nipoambiwa yalinikera sana.

Hii swala la watalii kuvutwa Zenji na kuambiwa Bara ni hovyo ni la kulipigia kelele kwa kweli.

Kaskazini hatukuzoea "excursionists" kama ilivyo sasa.

Yale yale ya South Africa kumarket tourism attractions zao kupitia Mt. Kilimanjaro kama " ukitaka kuupanda Mlima Kilimanjaro ni masaa matatu tuu kutoka Kruger National Park" huko Thailand,Malaysia,Singapore,Taiwan na Hong Kong.
 
Yaani inakera!
Sijui kwanini hatutaki kutumia akili mpya katika kubuni aina za marketing!
I'm pretty sure ikitokea tuwafanyie interviews ya kushitukiza hapo wizarani japo ya kuandika itinerary ya siku nne nights tatu nauhakika hakuna atakaye faulu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…