Arusha.CCM maji shingoni yawavuta wananchi kwa kutumia Wasanii!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Tangu alhamis ccm ilitangaza kuwa mkuu wa serikali ya kishkaji atakuwepo Arusha leo jumamos kwa ajili ya kuwapa watoto chanjo ya polio na surua Mara ghafla jana kuanzia saa sita tangazo likageuzwa kwamba sio ****** tena atakayekuwepo ni muakilish wa rais Leo kwenye uwanja wa stadium kuna watoto wadogo wanarandaranda walipoona nguvu ya umma imesusa kuwaunga mkono wakatangaza tena kutakuwepo wasani wa bongo fleva ili watu watu waende kwa wing lakin hata hivyo hakuna mahudhurio ni hafifu sana nadhani huu ndo mwisho wa ccm NAWASILISHA!
 
Ndo watu wetu wa mipango hao. Issue nyeti wao wanaichukulia kipolitiki
 
vip si wangekodi mafuso na mabasi kwenda kubeba watu vijijini ili kujaza stadium?[/QU thubutu watu wa arusha siku hiz hawabebwi tena na mafuzo elimu wanayoipata kutoka kwa chadema ni bora zaidi kuliko tishet zao na ubwabwa
 
vip si wangekodi mafuso na mabasi kwenda kubeba watu vijijini ili kujaza stadium?

Sidhan km watu wa Arusha wanaweza wakakubali upuuzi wakusombwa kama walivyozoea kwingineko!sio watu wa kuwahonga na pilau!never!!wajue Arusha sio watu wa hivyo since the beginning
 
Asante mkuu kwa taarifa lakini uthabarishe zaidi kila kitakachoendelea hapo,angalio viashira vyote ikiwemo,mahudhurio,viongozi wakitaifa watakaohudhhuria,na mengine mengi mtujuze.Nawashukuru wananchi wa AR kuwaonyesha live CCM magamba kwamba hamuwataki tena.tuwaunge mkono AR kwa msimamo wenu.
Tuambieni siku atakapotoka Mh Lema party itakuwa wapi na lini na sehemu gani,watu wamepanga kuja,hivyo tunahitaji taarifa ili tuweze ku-schedule mambo yetu.
 
Tumsusie Rais ila watoto wetu tuwapeleke wakapate chanjo polio ni hatari wandugu
 
ina maana mpaka leo hii kuna mtoto anayezaliwa bila kupata chanjo ya polio na surua kwa muda wa siku tisa? Kama wapo bas tanzania tuna wakat mgumu
 
Mi nilikuwa wakati anaingia Bilal ndo nikaondoka Kama kawaida watoto wa shule na wafanyakazi wamelazimishwa kwenda kwenye maandamano kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa kwenda stadium.

Asante mkuu kwa taarifa lakini uthabarishe zaidi kila kitakachoendelea hapo,angalio viashira vyote ikiwemo,mahudhurio,viongozi wakitaifa watakaohudhhuria,na mengine mengi mtujuze.Nawashukuru wananchi wa AR kuwaonyesha live CCM magamba kwamba hamuwataki tena.tuwaunge mkono AR kwa msimamo wenu.
Tuambieni siku atakapotoka Mh Lema party itakuwa wapi na lini na sehemu gani,watu wamepanga kuja,hivyo tunahitaji taarifa ili tuweze ku-schedule mambo yetu.
 
Ndo watu wetu wa mipango hao. Issue nyeti wao wanaichukulia kipolitiki

kwani hiyo chanjo wanashidwa kuipeleka mahosptalin wanapeleka kwenye mauwanja hata chanjo ya kichaa cha MBWA inanafuu wanafanyia halmashauri au s za mitaa.shit
 
Mi nilikuwa wakati anaingia Bilal ndo nikaondoka Kama kawaida watoto wa shule na wafanyakazi wamelazimishwa kwenda kwenye maandamano kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa kwenda stadium.

Maandamano tena kwani al-shabaab hawatishii tena au said wema sepetu ajapata taarifa za kiintelejensia?
 
Hata mimi nilipita hapo baada ya kusikia kwenye gari la matangazo kwamba "wanangu" mabaga fresh wapo! Nilikuwa nimewa mic sana ingawa sikuweza kuwaona!
 
Nipo mbuguni mirerani waje kunipa lift na lory lao. Cku nyingi cjaenda town kisa cna nauli! Ila kofia ya ppoz waniruusu. Fasta basi kabla cjaingia mgodini!
 
Back
Top Bottom