Wamefanana midomo na macho. Ila tabia sidhani!
kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! Kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
Tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti
Teh teh teh teh teh teh teh, du nimecheka mpaka nimepaliwa!!!!!!!!
kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti
Kwa kampeni za Arumeru Mashariki kwa sasa. ni ngumu utangaze sera wakati mwenzio anachofanya ni kukuchafua.
Acha wajibizane kwanza ila watakaoonekana wajinga ni wale wazee waropokaji. Nadhani wote tunajua wanapatikana chama gani.
nikiangalia umri wa mdogo wangu mdee sidhani kama alipaswa kumjibu mzee wasira hata kama ni siasa but ndo napata picha kamili ya nidhamu hovyo ya viongozi tulionao zama hizi.
RADHIA I take that you are imagining him to be abnormal all the way..duIf I were Wassira, I should bugger Halima until her bunghole is completely mutilated.
Lakini bwana mengine ni ukweli Wasira akivaa suti zake zile zenye kuacha kifua wazi, ukilinganisha na picha za Jane Gudall za kule Gombe kwa sokwe wanaofanana na wanadamu kwa 98% unaona kama na kifua chake ni kama ... basi tu si busara kumwambia mtu ukweli wenye utata na kupuuza uongo usio na maslahi aliosema yeye Wasira kuwa Dr. Slaa ni mwizi wakati hana hakika na anachokisema. Hii ni hatari katika siasa za Tz kama tunawatuhumu watu bila kuwa na factsAkihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
wassira ameamua kunya sebureni sasa anapakwa kinyesi chake
Jamani hapa Wassira mbona alikua angalau! au kilichomtokea ni evolution ndo akafikia muonekano wa sasa!
Teh teh teh teh teh teh teh, du nimecheka mpaka nimepaliwa!!!!!!!!
na yule mdada nomer anawajibu hadi babu zake daahTatizo ndugu zetu ccm huwa wanapenda kunya majukwaani lakini wakijibiwa kinawauma kweli.haya ndo matokeo ya siasa chafu