alimfananisha wasira na sokwe mtu
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
Wapi picha tufananishe.