Mwenye kujua anieleweshe,hivi CCM wakinunua shahada za kura wanapata faida ipi katika uchaguzi,I mean inawasaidiaje kushinda? navyojua mimi watu wengi walio katika position ya kuuza shahada ni watu illiterate na ignorants ambao most of them if not all ni mashabiki wakubwa wa CCM na ndio mara zote wanaokipa ushindi,sasa sioni faida wanayoipata kwa kununua shahada ya potential voters.Please wakuu mwenye kujua how this trick works anijuze.