Artwork ghali zaidi duniani

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
958
hii ndio picha inayouzwa bei ghali duniani,imechorwa na jamaa kutoka banana republic yani hadi ma genius kama mimi tunaumiza kichwa alifanyajefanyaje.
Kama akili yako iko slow take your time utagundua kitu
 
Maisha yanifikirishe...doti nayo ichukue muda wangu?!?!
 
sawa mkuu ngoja nitake time mana jana nimeshaambiwa humu akili yangu ndogo
 
Ni swahihi maana inachukua center of gravity yooote!Nimetabasamu kwa sauti mkuu.πŸ˜€πŸ˜€:beer:
 
hata sijaelewa.......honestly. naomba kueleweshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…