Bachelor of Arts on how to Silence and Kill Opposition Politicians in Africa ( BASKOP ). Hii kwa mazingira ya sasa yaliyopo katika nchi nyingi za Afrika inalipa sana Mkuu na nakuhakikishia ukiwa tu mwishoni wa mwaka wako wa Kwanza Chuoni tayari utakuwa umeshapata ' Ajira ' kwani inahitajika sana kuliko hata madini yaliyopo Afrika na Kodi zetu. Kila la kheri nayo na nikutakie tu masomo mema na hiyo Kozi mpya Barani Afrika ya BASKOP.