Siyo tu kutisha lakini ni hatari. Ndiyo maana wamesema kuwe na udhibiti la sivyo tunakwisha. Hii ya mchina iliingia kwa mikwala lakini ChatGPT kwangu naona iko mbele.Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription.
Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes kwenye files za:
config.js
_document.js
_app.js
Nikaona kuokoa muda niingie ChatGPT ili inisaidie ku-encode characters zitakazoweza kusomwa kwenye Vivinjari (browsers) tofauti-tofauti.
Sasa kinachotisha ni kuona jinsi hatua za awali tu AI inavyochakata code kwa haraka na kwa usahihi with almost zero errors.
Naanza kuamini yale yanayotabiriwa kuwa kazi zetu zipo matatani kwa miaka ijayo.
Yajayo yanatisha!
Aisee yameshafika kiwango cha kufurahisha na kuingia kwenye hatari.Hayatishi yanafurahisha
Niko maeneo ya jirani na VETA hapa mkuu, vipi nikuchukulie fomu? 😀Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription.
Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes kwenye files za:
config.js
_document.js
_app.js
Nikaona kuokoa muda niingie ChatGPT ili inisaidie ku-encode characters zitakazoweza kusomwa kwenye Vivinjari (browsers) tofauti-tofauti.
Sasa kinachotisha ni kuona jinsi hatua za awali tu AI inavyochakata code kwa haraka na kwa usahihi with almost zero errors.
Naanza kuamini yale yanayotabiriwa kuwa kazi zetu zipo matatani kwa miaka ijayo.
Yajayo yanatisha!
Hatari sana. AI kwa sasa inafaya kazi sawa na ubongo wa binadamu na bado ipo kwenye hatua za awali.Siyo tu kutisha lakini ni hatari. Ndiyo maana wamesema kuwe na udhibiti la sivyo tunakwisha. Hii ya mchina iliingia kwa mikwala lakini ChatGPT kwangu naona iko mbele.
Leo nimeipa kazi ya kudraft contract na ikaifanya within 2 minutes! Nadhani hata kesi inaweza kuiandaa ukiipa dondoo.Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription.
Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes kwenye files za:
config.js
_document.js
_app.js
Nikaona kuokoa muda niingie ChatGPT ili inisaidie ku-encode characters zitakazoweza kusomwa kwenye Vivinjari (browsers) tofauti-tofauti.
Sasa kinachotisha ni kuona jinsi hatua za awali tu AI inavyochakata code kwa haraka na kwa usahihi with almost zero errors.
Naanza kuamini yale yanayotabiriwa kuwa kazi zetu zipo matatani kwa miaka ijayo.
Yajayo yanatisha!
Kama kuna project moja naifatilia ndiyo ipo kwenye development, jamaa wanatengeneza cooking pots zinakuwa integrated na AI & Camera. Maana yake unaweza kuwa na watoto nyumbani ukapika chakula kupitia simu kikaiva wao wanaenda kupakua tu.Kazi nyingi sana miaka 10 ijayo zitakuwa obsolete kwa binadamu.
Hakuna umatatani wowote wa kazi, kwahiyo wala usiogope na uendelee kujifunza namna ya kuitumia kwa usahihi kwa maana hiyo ni tool ya kurahisisha kazi.Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription.
Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes kwenye files za:
config.js
_document.js
_app.js
Nikaona kuokoa muda niingie ChatGPT ili inisaidie ku-encode characters zitakazoweza kusomwa kwenye Vivinjari (browsers) tofauti-tofauti.
Sasa kinachotisha ni kuona jinsi hatua za awali tu AI inavyochakata code kwa haraka na kwa usahihi with almost zero errors.
Naanza kuamini yale yanayotabiriwa kuwa kazi zetu zipo matatani kwa miaka ijayo.
Yajayo yanatisha!
AI inaweza kureplace kazi ambazo hazihitaji interaction ya moja kwa moja na binadamu au zenye interaction isiyo hitaji maelezo yenye kubadilika badilika ila eneo lolote lenye hali ya muingiliano usiotabirika AI bado haiwezi kufanya kazi kwa ufanisi.Mwaka juzi nilikua TL wa kampuni ya loan recovery.
Ikatokea kwamba recovery rate inashuka sana. CEO akacheki na idara ya IT wakadevelop bot ambazo zikawa zinafanya loan recovery.
CEO akiwa analenga kwamba ikatokea bot akafanya recovery nzuri kuliko sisi binadamu apitishe redundancy.
Bots zilikua 3. Zote zimelishwa maneno ya kufanana, kwa wiki mbili za mwanzo bots 2 zilikua hazikosi kwenye top 5 ya best performers. Bot 1 alikua anakua kati au mwisho.
3rd week bots 2 zikawa zinacheza kati. Bot 1 mwisho. 4th week bots zote zikawa zipo chini kabisa. Ingawa zilifeli but what if CEO asingeona ubahili ile kazi akaoutsource kwa kampuni kabisa? Au zikalishwa maneno zaidi? Nilikua nasikiliza voice record bots zikiongea na wateja nilinotice shida ipo kwenye lugha pia coz yalikua yanaongea kiingereza pekee.
Anyway, I think kuna mambo wangerekebisha bots zingereplace a good number of workers
dah wee jamaa😁😁Niko maeneo ya jirani na VETA hapa mkuu, vipi nikuchukulie fomu? 😀
Kibaya zaidi inafikiria kwa sekunde tu, kabla yakukupa jibu,binadamu akijitahidi sana ni dk 5.Hatari sana. AI kwa sasa inafaya kazi sawa na ubongo wa binadamu na bado ipo kwenye hatua za awali.
Kama mtu hajui hayo mambo atajuaje kukomand prompt za kile unachokitaka kwejye AI. Je hio AI itaota kuwa kuna mtu fulan wnawaza hiki kwa hio nimuundie.Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription.