VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Ni kweli Mkuu.Halafu,kila mchezaji au kocha ana vipindi viwili: cha gundu na cha mafanikio....naona na Torres anafufuka!!!au mikoba yake alikuwa nayo Rafa!!?
kwa hiyo unataka niambia toress sasa ndo anaingia kwenye neema!!!Ni kweli Mkuu.Halafu,kila mchezaji au kocha ana vipindi viwili: cha gundu na cha mafanikio....
kwa hiyo unataka niambia toress sasa ndo anaingia kwenye neema!!!
kiongizi naona jamaa (de mateo) alishafika peak na kuanza kurudi chini!binafsi nadhani rafa anaweza fanya kazi tatizo mashabiki hawajamkubali!!!tumpe muda kidogo tuone kama bado ana ule uwezo wake wa awali akiwa Liver!May be utabili wa mwanamichezo VUTA-NIKUVUTE unaweza kutimia mkuu, who knows by the way.
Lakini bado naona kwa mtazamo wangu, kumpoteza de mateo ni kupoteza bonge la kocha jamaa alikuwa nabahati pia.
kiongozi mechi ya kesho ndo itakayo amua nani anaingia 2013 akichekelea kileleni!!!Mkuu leo ilikuwa upande wetu sisi asernal, sio kila siku kwa man united, ngoja kesho kama man city watalegea man U watatutua penati.
kiongozi mechi ya kesho ndo itakayo amua nani anaingia 2013 akichekelea kileleni!!!
mkuu usiipanie sana!si unajua gemu ukiipania unashindwa hata kufaidi!!ila kama kuna uwezekano kauangalizie bar na mashabiki ndo utaipata raha yake!!chukua tu kagenerator kako uende nako bar,just in case!!Ni kweli mkuu Zamaulid kesho mapema nitajiandaa kwa kila hali, yaani tanesco siwaamini itabidi kwenye kagerator mapema niweke kapetrol ili tanesco wakisepa tu navuta kamba.
mkuu usiipanie sana!si unajua gemu ukiipania unashindwa hata kufaidi!!ila kama kuna uwezekano kauangalizie bar na mashabiki ndo utaipata raha yake!!chukua tu kagenerator kako uende nako bar,just in case!!