COCKINGTON
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 222
- 59
I think its time for you to pack your things and go....tuachie arsenal yetu wewe ushashindwa maajuzi yako yameishia hapo.....
I think its time for you to pack your things and go....tuachie arsenal yetu wewe ushashindwa maajuzi yako yameishia hapo.....
Wenger analaumiwa kwa kosa la namna anavyowatrain wachezaji wake kufikia kila mwaka Arsenal ndio inayoongoza majeruhi, anaulizwa kulikoni! Hata wale wanaojiuguza wanafanya rehab kwenye nchi zao. Ozil yuko kwa madk Ujerumani, Diaby alikuwa anasimamiwa kuwa fit Ufaransa. Arsenal hiyo angepewa Mourinho ingeshashuka daraja siku nyingi.
Very sorry mkuu...kweli wewe mvumilivu, unashabikia arsenal? Nadhani utakua mke mwema ....kwakweli upepo unakoelekea arsenal wataimiss big 4.everton watawadondosha tu..ni kawaida nshazoea msimu wa kwanza hiwa anapigania kikombe ila msimu wa pili anaishia kugombania big 4.hakuna kocha mzuri asieacha historia nzuri ya heshim kwenye club..uchumi wake unawasaidia vip wachezaji? lazima kikombe kiwepo ili.club ijenge heshima! huyu wenger hafai tena kuna haja.ya kumtafuta kocha makini..namtamani martinez..ngoja tusubiri kipigo kutoka kwa wigan...
sijashawishiwa na mtu yeyote ndio maana ntaendelea kuwepodaa, una moyo mgumu sana...
Man united tunakuja kwa kunyata kuinyemelea nafai ya nne.....