Arsenal wapewa jina jipya la 8.6 bavaria

Arsenal wapewa jina jipya la 8.6 bavaria

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,930
Reaction score
1,172
...baada ya timu ya Arsenal kupigwa goli 6 na timu ya Man City, Na mnamo mwaka jana timu hiyo ilipigwa goli 8 na timu ya Manchester United, hatimaye record hiyo imepelekea timu hiyo kupewa jina jipya la utani a.k.a Bavaria 8.6
 
Huku kwetu tunawaita 8.6 FM Stereo
 
Moyo wako umefurahi gooners kupoteza mechi,umesahau nyie mlilala ngap pale?Upo nafac ya ngap kwenye log?Arsenal ar stil 2 points clear,jipange Hull city anakungoja nxtwkend!
 
Back
Top Bottom