Karibuni wadau wa EPL na leo ndiyo kiashiriao cha kuanza kwa ligi. Leo hii kwa mara ya kwanza katika historia ya mpira nchini Uingereza ile "Vanishing Spray" itaanza kutumiwa na marefa. Wote mnakaribishwa
kwa wale wadau ambao hawapo jirani na luninga mnaweza kufuatilia matangazo moja kwa moja kwenye mitandao kupitia linki hapo chini
duh unamkomoa mtu mwenye EPL kwa kubeba ngao ya hisani!!!!! Siamini hata kidogo kama Nasri anajuta kuhama kwa mshahara na mafanikio aliyopata hata Sagna ameliona hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.