Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Kuna synonymity kati ya wanazi wa Arsenal na wale wa Simba. Wana kelele nyingi sana kwa mafanikio kiduchu!
Hadi leo hii tarehe 8 Sept, thread ya Simba imefikisha page 153 huku ile ya watani wao Yanga ikiwa iko page 70 bado.
Kwa upande mwengine, Yanga ndiyo the most successful club in TZ (yaani kwa mataji yenye mashiko).
Najaribu ku-imagine pale Simba wangekuwa na mafanikio kama ya Yanga, ingekuwa vipi... labda thread ingekuwa na pages 10,000!
Arsenal nao thread yao imefikisha pages 1,077 huku Man U wakiwa page 567 tu.
Wote mnajua kati ya Arsenal na Man U ni nani mwenye mataji mengi kuliko mwingine!
Conclusion: mashabiki wa Arsenal na Simba have one thing in common....wanapenda sana kujifariji kwa maneno matupu!!
Mimi nadhani washabiki wa Arsenal na wale wa Simba bundle za internet hazisumbui sana ndo maana mara zote wako online kupost kwenye thread za vilabu vyao.
Ndo hivyo wengi bundle zao za kupima kwa vibaba, hata uwanjani huwa wanaingia wachache sana ukilinganisha na washabiki wa mnyama ingawa huwa wanajidai Yeboyebo ndo timu yenye washabiki wengi kuliko timu yoyote Tanzania na kama ni hivyo mbona uwanjani wanaingia wachache, wenye vijisenti ni wachache kama Manji, Mosha.
kwa hiyo mkuu unamaanisha mashabiki wa timu zingine net zao ni za kupima kwa vikombe
asnte kwa research safi yenye ukweli na uhakika*Kuna synonymity kati ya wanazi wa Arsenal na wale wa Simba. Wana kelele nyingi sana kwa mafanikio kiduchu!
Hadi leo hii tarehe 8 Sept, thread ya Simba imefikisha page 153 huku ile ya watani wao Yanga ikiwa iko page 70 bado.
Kwa upande mwengine, Yanga ndiyo the most successful club in TZ (yaani kwa mataji yenye mashiko).
Najaribu ku-imagine pale Simba wangekuwa na mafanikio kama ya Yanga, ingekuwa vipi... labda thread ingekuwa na pages 10,000!
Arsenal nao thread yao imefikisha pages 1,077 huku Man U wakiwa page 567 tu.
Wote mnajua kati ya Arsenal na Man U ni nani mwenye mataji mengi kuliko mwingine!
Conclusion: mashabiki wa Arsenal na Simba have one thing in common....wanapenda sana kujifariji kwa maneno matupu!!
Tatizo thread ya Arsenal.. haters ndipo wanaposhinda mule kupiga majungu kama hawa thread zao vile!! kitu kingine wapenzi wa arsenal sikuzote game likichezwa mnatuona kwenye thread tukitoa update tunakuwa live hata tufungwe! manure huwa wanakimbia thread wanarudi baadaye!
CHELSEA HUWA HAWARUDI KWENYE THREAD LAO HADI WASHINDE!!
Arsenal Special Thread should be voted the most long running thread ndani ya JF! since 23rd November 2006 08:36 mpaka leo hii! tumepitia mabadiliko mengi wapenzani wa arsenal hatuitupi thread yetu ! hakika hii thread inahitaji heshima ya kipekee
[h=3]Arsenal Special Thread[/h]
- Replies: 21,520
- Views: 414,339
Acha bangi wewe angalia hizo thread zimeanzishwa lini. Ya arsenal ipo tangu 2006.Kuna synonymity kati ya wanazi wa Arsenal na wale wa Simba. Wana kelele nyingi sana kwa mafanikio kiduchu!
Hadi leo hii tarehe 8 Sept, thread ya Simba imefikisha page 153 huku ile ya watani wao Yanga ikiwa iko page 70 bado.
Kwa upande mwengine, Yanga ndiyo the most successful club in TZ (yaani kwa mataji yenye mashiko).
Najaribu ku-imagine pale Simba wangekuwa na mafanikio kama ya Yanga, ingekuwa vipi... labda thread ingekuwa na pages 10,000!
Arsenal nao thread yao imefikisha pages 1,077 huku Man U wakiwa page 567 tu.
Wote mnajua kati ya Arsenal na Man U ni nani mwenye mataji mengi kuliko mwingine!
Conclusion: mashabiki wa Arsenal na Simba have one thing in common....wanapenda sana kujifariji kwa maneno matupu!!
Tatizo thread ya Arsenal.. haters ndipo wanaposhinda mule kupiga majungu kama hawa thread zao vile!! kitu kingine wapenzi wa arsenal sikuzote game likichezwa mnatuona kwenye thread tukitoa update tunakuwa live hata tufungwe! manure huwa wanakimbia thread wanarudi baadaye!
CHELSEA HUWA HAWARUDI KWENYE THREAD LAO HADI WASHINDE!!
Arsenal Special Thread should be voted the most long running thread ndani ya JF! since 23rd November 2006 08:36 mpaka leo hii! tumepitia mabadiliko mengi wapenzani wa arsenal hatuitupi thread yetu ! hakika hii thread inahitaji heshima ya kipekee
Arsenal Special Thread
- Replies: 21,520
- Views: 414,339
/Acha bangi wewe angalia hizo thread zimeanzishwa lini. Ya arsenal ipo tangu 2006.
Enewei na wewe jaribu kupitia yanayoandikwa kwenye page hizo ni nini na nani wanaoandika. Mfano jana nilishinda katika page hiyo wakati wa mechi ya Arsenal na Chelsea. Ilikuwa ni sehemu ya kupata Updates za maendeleo ya mechi na wakati mwingine wapinzani wa arsenal walishinda pale kuwapiga madongo wenzao. Kujaa kwa thread kutokana na wenye thread kuitumia vizuri kwa kupeana taarifa za timu yao na updates wakati wa mechi./
mtu akisema jambo tafakari kwanza itakusaidia kuuona ukweli,nakupa assignment..siku arsenal ikicheza angalia wakati game inaanza thread ina page ngapi na baada ya game zinaongeza ngapi?fananisha na man utd uone!kifupi arsenal kila game hujaza page si pungufu ya 3 wakati man utd page moja kujaa tu shida!
Enewei na wewe jaribu kupitia yanayoandikwa kwenye page hizo ni nini na nani wanaoandika. Mfano jana nilishinda katika page hiyo wakati wa mechi ya Arsenal na Chelsea. Ilikuwa ni sehemu ya kupata Updates za maendeleo ya mechi na wakati mwingine wapinzani wa arsenal walishinda pale kuwapiga madongo wenzao. Kujaa kwa thread kutokana na wenye thread kuitumia vizuri kwa kupeana taarifa za timu yao na updates wakati wa mechi.
Hahahahaaah!! Hata thread nyingine ni hivyohivyo, tatizo ni kuwa wadau wa hizo thread wanazikimbia sometimes na kujazana huko kwa arsenal.absolutely,nakubaliana nawe kabisa,na hapo ndio utofauti unapokuja wenzetu mnapeana taarifa mnoo kuliko sisi wenye mafanikio,thread ya arsenal ina features zifuatavyo...kwanza kupeana taarifa na kuitana...utasikia quest anauliza "wapi balantanda?" balantanda nae anajibu "nipo quest,soma signature yangu...bala is always here" wanaitana mpaka wanajaza page moja,baada ya hapo wanaingia kuibishania kikosi alichopanga wenger...tv5 angeanza kosinyi angekaa benchi,wanabishana mpaka wanajaza page nyingine,page nyingine wakati wa game kulaumu wachezaji,ahaaa huyu gervinho vipi kakosaje pale yeye na nyavu,oh giroud vipi hajazoea tu epl!page nyingine wakishafungwa ni page ya kupeana moyo,vijana wataelewana tu msijali wanapeana moyo weeeeee mpaka wanajaza page,huku wakimalizia na msemo wao "once a gooner always a gooner"
haya arsenal fans semeni wenyewe nimewachambua vema au nimewaonea?kama kweli gonga like!
n.b page nyingine mipicha ya wacha1 wachezaji wa arsenal wakikosakosa magoli!lol
absolutely,nakubaliana nawe kabisa,na hapo ndio utofauti unapokuja wenzetu mnapeana taarifa mnoo kuliko sisi wenye mafanikio,thread ya arsenal ina features zifuatavyo...kwanza kupeana taarifa na kuitana...utasikia quest anauliza "wapi balantanda?" balantanda nae anajibu "nipo quest,soma signature yangu...bala is always here" wanaitana mpaka wanajaza page moja,baada ya hapo wanaingia kuibishania kikosi alichopanga wenger...tv5 angeanza kosinyi angekaa benchi,wanabishana mpaka wanajaza page nyingine,page nyingine wakati wa game kulaumu wachezaji,ahaaa huyu gervinho vipi kakosaje pale yeye na nyavu,oh giroud vipi hajazoea tu epl!page nyingine wakishafungwa ni page ya kupeana moyo,vijana wataelewana tu msijali wanapeana moyo weeeeee mpaka wanajaza page,huku wakimalizia na msemo wao "once a gooner always a gooner"
haya arsenal fans semeni wenyewe nimewachambua vema au nimewaonea?kama kweli gonga like!
n.b page nyingine mipicha ya wacha1 wachezaji wa arsenal wakikosakosa magoli!lol