SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Bado wingu limetanda emirates tuendeleeni kuomba Mungu.Naona Almunia bado yupo tu huku timu kama WBA wana bid Shay Given.kuna uwezo mkubwa WBA wakawa na kipa mzuri kutushinda lol.
Ndio maana tupo tu mkuu tunatazama tu kinachoendelea, roho juu.Poleni sana. Wenger ni kocha mzuri sana na I like his brand of football, lakini nae inabidi abadilike and he has to spend for the big names. Mfano hata Fabregas na Nasri wikiishia then he can make a big statement by signing Juan Matta, Sergio Aguero, Thiago Motta, Gervinho na apate full back na center back na kipa. Otherwise mtabaki kuwa just a football academy
Tatizo hawa non-british players hawako loyal na timu zao. Angalia Torres, Mascherano, Adebayo, Kolo, Saha etc. wanachojali ni mshiko. Labda ndio maana Liverpool wameamua kusajili british players tuuNdio maana tupo tu mkuu tunatazama tu kinachoendelea, roho juu.
Tatizo hawa non-british players hawako loyal na timu zao. Angalia Torres, Mascherano, Adebayo, Kolo, Saha etc. wanachojali ni mshiko. Labda ndio maana Liverpool wameamua kusajili british players tuu
gervinho tayari bana ... wanasuburi kumtangaza... na nimesoma katika daily mail ni tetesi kwamba wenger ataspend big kwa karim benzima around £27million baada ya hapo ataangalia ustaarabu wa beki kule nyuma....
Bado wingu limetanda emirates tuendeleeni kuomba Mungu.Naona Almunia bado yupo tu huku timu kama WBA wana bid Shay Given.kuna uwezo mkubwa WBA wakawa na kipa mzuri kutushinda lol.