Arsenal&Liverpool

KennedyMmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
979
Reaction score
188
Arsenal=Liverpool,tuwasahau na kuwaondoa kwenye "big four",anayefuata kutolewa kwenye big four ni mgonjwa mahututi Chelsea....maana anaelekea kuwa kama Swansea ama QPR...sasa hivi kuna big two pekee....
 
Liver tumelala tukiamka tu ubingwa CL mara 6 usitufanishe na Aseno timu haina wenyewe wao wanaongopeana Wenga toka 1996 vikombe 5 ata Yanga wasingevumilia poleni mashabiki wa aseno mlichagua aseno kwa mchezaji mmoja Kanu sasa hayupo hameni
 
na huyu wanger toka miaka yote hiyo hapo aseno anafanya nini na kwanini hawamtimui au ile timu yeye ndio kainzisha hebu wana jamii nambieni kusu hili
 
na liva nao wamepoteza mwelekeo huwezi kuamini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…