Kamwe maneno sio matendo,mpira sio siasa,usione man city kapigwa jana ukadhani 'the game is over',usidhani kwa kua mwaka jana Arsenal alifungwa na Bayern munich 3-1 nyumbani basi na mwaka huu atafungwa tena, mpira unachezwa UWANJANI sio MDOMONI!,IN FOOTBALL ANYTHING CAN HAPPEN.