Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 621
kiherehere tuko pamoja mkuu,leo tukimchapa totenham tuombe na shikamoo stars chelsea wachapwe hapo njia yakuelekea kwenye ubingwa itakua tumeisafisha nusuyake,ila timyetu ya arsenal inatufarahisha wiki hii next week inaboronga,inakua presha inapanda presha inashukaNgazi ya ubingwa Arsenal inaanzia leo kwa Totenham.
Van Persie ndani. Kwa kuwa tulianza na msimu kwa kuwa na majeruhi, Fabregas,Walcot,Van persie,Valmeen Nasri ambao ni kikosi cha kwanza, leo van persie ndani tutegemee mauaji.
Nasikitikia wapinzani wetu walio na WACHEZAJI WAZEE ambao wakiumia kupona kwao nimsimu.
Kudadadeki..
Kumbuka Januari tunamleta Ikar Kasilas ni
kiherehere tuko pamoja mkuu,leo tukimchapa totenham tuombe na shikamoo stars chelsea wachapwe hapo njia yakuelekea kwenye ubingwa itakua tumeisafisha nusuyake,ila timyetu ya arsenal inatufarahisha wiki hii next week inaboronga,inakua presha inapanda presha inashuka
Nimekukubali kibunango, kumbe kuna wakati tutakuwa upande mmoja? nilifikiri tukianzia kwa CCM na CDM hatuwezi kukaa kuwa pamoja, SPORT bwana...... syimbol of happiness and unity
Hiki ndio kirehere aisee
- Kwanza umeleta jukwaa lisilo - KIHEREHERE
- pili kwa kiherehere umeamua kuacha jukwaa la arsenal
- tatu ni kwa kiherehere tu, umegeuka sheikh yahya
- nne, ni hiki kiherehere kinachowakosesha ubingwa kila mwaka
- tano, ni kwa kiherehere hikihiki utakuja badae kusema wenger hafai
- sita, kiherehere kitasema tumeshindwa kwasababu jamaa aligonga mwamba
- saba, unanikumbusha wale viherehere aliowachamba my president
- nane, nakuombea uwe na kiherehere hikihiki mwezi wa tano mwakani
Gudlack!
Hongera mzee kwa kupanda ngazi!Ngazi ya ubingwa Arsenal inaanzia leo kwa Totenham.
Van Persie ndani. Kwa kuwa tulianza na msimu kwa kuwa na majeruhi, Fabregas,Walcot,Van persie,Valmeen Nasri ambao ni kikosi cha kwanza, leo van persie ndani tutegemee mauaji.
Nasikitikia wapinzani wetu walio na WACHEZAJI WAZEE ambao wakiumia kupona kwao nimsimu.
Kudadadeki..
Kumbuka Januari tunamleta Ikar Kasilas ni nomaaaaaaa
Hiki ndio kirehere aisee
- Kwanza umeleta jukwaa lisilo - KIHEREHERE
- pili kwa kiherehere umeamua kuacha jukwaa la arsenal
- tatu ni kwa kiherehere tu, umegeuka sheikh yahya
- nne, ni hiki kiherehere kinachowakosesha ubingwa kila mwaka
- tano, ni kwa kiherehere hikihiki utakuja badae kusema wenger hafai
- sita, kiherehere kitasema tumeshindwa kwasababu jamaa aligonga mwamba
- saba, unanikumbusha wale viherehere aliowachamba my president
- nane, nakuombea uwe na kiherehere hikihiki mwezi wa tano mwakani
Gudlack!
kweli wanasema eti malaria inaanza wee! inapungua,sasa si ajabu ukashangaa wiki ijayo arsenal anamfunga aston villa ugenini halafu gemu inayofuatia anafungwa nyumbani,Ashley Young timu yake anayosapoti na utotoni mpaka sasa ni arsenal,Walcott ni liverpoolhahahahahahaaa Hapo kwenye nyekundu umenifurahisha, ila tuanakaza buti mapaka kieleweke sa hizi.
wapiga nyundo watazinduka tu,na ngoja msiombe timu kubwa ikitane nao hatua za mwisho wa ligi kuisha,bado na imani nao ni pepo mchafu tu yupo ila atatokaHahaha nimependa jinalo KIHERehere...kweli mwaka huu ubingwa kwa assh**! Ligi hii kibonde ni hawa wapiga nyundo wanaobondwa kila kukicha!..ila wengne ukiingia tu wanakunyoa...i love man utd