Aron ramsey leo katupia kambani!

abousalimu

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
62
Reaction score
19
Aron Ramsey kafunga goli zuri sana la 4 katika ushindi wa leo wa Arsenal. Swali ni kwamba hilo goli litaleta msiba gani?
 
da! Bora nimeamka salama,mana jna nililala na wac wac sana baada ya jamaa kufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…