sixlove JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 579 Reaction score 414 Apr 13, 2012 #1 ndugu wana JF, napenda kuuliza hili duka la costmetics lijulikanalo kama ARISE BEAUTY SUPPLY lipo dar sehemu gani? nahitaji kuwa naagiza mzigo kutoka kwao, kwani nasikia ni agent wa costmetics mikoani.
ndugu wana JF, napenda kuuliza hili duka la costmetics lijulikanalo kama ARISE BEAUTY SUPPLY lipo dar sehemu gani? nahitaji kuwa naagiza mzigo kutoka kwao, kwani nasikia ni agent wa costmetics mikoani.