Felixonfellix JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 1,672 Reaction score 184 Mar 30, 2010 #1 Jamani tumwombe sana mungu atusamehe.......kama kweli sisi wote tumeumbwa kwa mfano wake, na kwamba wote tu watu wake!! Basi..... Ni wachache watakaouona ufalme wa mbinguni........!! Je wewe uko upande upi?? Tafakari...chukua hatua.
Jamani tumwombe sana mungu atusamehe.......kama kweli sisi wote tumeumbwa kwa mfano wake, na kwamba wote tu watu wake!! Basi..... Ni wachache watakaouona ufalme wa mbinguni........!! Je wewe uko upande upi?? Tafakari...chukua hatua.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Mar 30, 2010 #2 Yamekusibu yapi mzee mbona hivyo?
cheusimangala JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,585 Reaction score 500 Mar 30, 2010 #3 RayB said: Yamekusibu yapi mzee mbona hivyo? Click to expand... hata mie najaribu kuunganisha kichwa cha habari na content lkn chanel zinagoma kushika!
RayB said: Yamekusibu yapi mzee mbona hivyo? Click to expand... hata mie najaribu kuunganisha kichwa cha habari na content lkn chanel zinagoma kushika!
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Mar 30, 2010 #4 cheusimangala said: hata mie najaribu kuunganisha kichwa cha habari na content lkn chanel zinagoma kushika! Click to expand... Si ndo hapo sasa yaani kaja ghafal bin vuu hata intro?
cheusimangala said: hata mie najaribu kuunganisha kichwa cha habari na content lkn chanel zinagoma kushika! Click to expand... Si ndo hapo sasa yaani kaja ghafal bin vuu hata intro?