Ndefu mno sana..mwenye ufupisho anieleweshe
kumbeAmensema kwamba, [HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG] , usiwe unacomment kwenye ukurasa wa kwanza wa kila post.
Ni hayo tu , ila wengine nao watakufafanulia zaidi.
worry outHaaa haaaaaa teeeh.
Just kidding
Thanks.worry out
Wewe ni demu?Kama siyo umejuaje?Mademu wakikuonesha signs za kukutaka hlf ukiwapotezea wanaumiajee.. [HASHTAG]#Mkuki[/HASHTAG] kwa nguruwe
HA! HA! HA!Ndefu mno sana..mwenye ufupisho anieleweshe
Ufupisho wa aya chache tu HunterHA! HA! HA!
Unataka audio