Are U happy?

Credio

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
78
Reaction score
161
Nichukue nafasi hii kukuuliza mwanajukwaa mwenzangu
Je unafuraha, je una amani?
Je mwenyezi Mungu kakujalia hitaji lako la moyo?
Je mahusiano yako na Mungu yako sawa? Vipi na mahusiano yako na ndugu jamaa na marafiki?
Kipi kinakuhuzunisha? Sema hapa leo pengine moyo wako utapona au utapata msaada
Karibu sana Jukwaani....
 
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini. Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu. Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
 
Amina
Yohana 3 1-2
Mpendwa, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema kama vile roho yako ifanikiwavyo".
 
Je unafuraha, je una amani?
Sana...
Je mwenyezi Mungu kakujalia hitaji lako la moyo?
Ndiyo...
Je mahusiano yako na Mungu yako sawa?
Sana...
Vipi na mahusiano yako na ndugu jamaa na marafiki?
Mazuri sana...
Kipi kinakuhuzunisha?
Hakuna...
Sema hapa leo pengine moyo wako utapona au utapata msaada
Pole sana, mleta mada...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…