The heading is so insulting but i believe you were genuine...
Hata hivyo as much as the government has to play its part
you also have to look at the Tanzanian people them selves...
Kweli hatuna nidham in most of our every day activities...
i.e planning, kazi, akiba, utumiaji wa pesa.... NDIO matatizo Mengi
yamechangiwa na serkali - ila sasa imefika wakati wakujiangalia hata
wananchi wenyewe....