Ardhi

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
1,679
Reaction score
1,691
Kwa wale wataalamu wa masuala ya ardhi naomba msaada, hivi kama Kiwanja ulikinunua kwa mtu kikiwa kimeshapimwa wakati wa ufuatiliaji wa hati kuna malipo yanaitwa premium Kama inavyoonekana kwenye picha hua ni kila anayetaka hati anachajiwa maana niliwahi kusikia kua kama Kiwanja ulikinunua kwa mtu hupaswi kulipia... Ukweli ni upi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inakusanya kodi kwa maendeleo yako kalipe hiyo premium over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…