Ardhi ya kilimo

pendael

New Member
Joined
Feb 22, 2010
Posts
3
Reaction score
1
Ninatafuta ardhi kwa ajili ya kilimo cha matunda katika mikoa ya pwani. Naomba mwenye taarifa anijulishe. Ningependa sehemu isiyokuwa kame.
 
nakushauri soma thread nyingine yenye title kama hii uliyoanzisha. pia soma 1) nimeamuka kulima kwa mara ya pili 2) sirudi nyuma
 
ni PM MKUU NINAYO HUKO KIBAHA VERY FERTILE LAND
 
Ninatafuta ardhi kwa ajili ya kilimo cha matunda katika mikoa ya pwani. Naomba mwenye taarifa anijulishe. Ningependa sehemu isiyokuwa kame.

Mkuu umepata dili la kuuza matunda nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…