A akili moja Member Joined Oct 11, 2017 Posts 9 Reaction score 0 Oct 21, 2017 #1 Wana jf naomb kuulza kuna yoyote ambae amechaguliwa Ardhi university katika course ya architecture akiwa na division 111.kama yupo anambie na mimi niomb round ya mwsho
Wana jf naomb kuulza kuna yoyote ambae amechaguliwa Ardhi university katika course ya architecture akiwa na division 111.kama yupo anambie na mimi niomb round ya mwsho
Juley Aru Member Joined Jun 4, 2017 Posts 91 Reaction score 83 Oct 21, 2017 #2 Div three? Omba koz yoyote then ukifika utahamia hyo unayotaka
A akili moja Member Joined Oct 11, 2017 Posts 9 Reaction score 0 Oct 21, 2017 Thread starter #3 kama ipi niombe
A akili moja Member Joined Oct 11, 2017 Posts 9 Reaction score 0 Oct 21, 2017 Thread starter #4 kwahyo nkiomb hii ctapata
Siles 01 Senior Member Joined Feb 9, 2015 Posts 112 Reaction score 107 Oct 21, 2017 #5 akili moja said: kwahyo nkiomb hii ctapata Click to expand... Ngumu sana kupata hiyo inahitaji watu wa ufaulu mkubwa wakat mwingine had Div II anaweza kukosa pia
akili moja said: kwahyo nkiomb hii ctapata Click to expand... Ngumu sana kupata hiyo inahitaji watu wa ufaulu mkubwa wakat mwingine had Div II anaweza kukosa pia
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Oct 21, 2017 #6 Basi uwe unaandika vizuri
- kANA - JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 4,089 Reaction score 10,562 Oct 21, 2017 #7 Usijisumbue mdogo wangu, hautapata! Kuna dogo ana division two kakosa! Angalia course nyingine zinazoendana na ufaulu wako!
Usijisumbue mdogo wangu, hautapata! Kuna dogo ana division two kakosa! Angalia course nyingine zinazoendana na ufaulu wako!
A akili moja Member Joined Oct 11, 2017 Posts 9 Reaction score 0 Oct 22, 2017 Thread starter #8 sawa kaka
A akili moja Member Joined Oct 11, 2017 Posts 9 Reaction score 0 Oct 22, 2017 Thread starter #9 Twaha-Siles said: Ngumu sana kupata hiyo inahitaji watu wa ufaulu mkubwa wakat mwingine had Div II anaweza kukosa pia Click to expand... sawa kaka asante
Twaha-Siles said: Ngumu sana kupata hiyo inahitaji watu wa ufaulu mkubwa wakat mwingine had Div II anaweza kukosa pia Click to expand... sawa kaka asante
A akili moja Member Joined Oct 11, 2017 Posts 9 Reaction score 0 Oct 22, 2017 Thread starter #10 Twaha-Siles said: Ngumu sana kupata hiyo inahitaji watu wa ufaulu mkubwa wakat mwingine had Div II anaweza kukosa pia Click to expand... sawa kaka asante
Twaha-Siles said: Ngumu sana kupata hiyo inahitaji watu wa ufaulu mkubwa wakat mwingine had Div II anaweza kukosa pia Click to expand... sawa kaka asante
Kapyungu A JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 3,496 Reaction score 3,168 Oct 22, 2017 #11 Juley Aru said: Div three? Omba koz yoyote then ukifika utahamia hyo unayotaka Click to expand... Kama nafasi zimejaa!. Asije kujutia
Juley Aru said: Div three? Omba koz yoyote then ukifika utahamia hyo unayotaka Click to expand... Kama nafasi zimejaa!. Asije kujutia