General knowledge. Maswali yanajumuisha lugha, hesabu, biology, physics, geography, civics, ...n.k. mfano wa maswali hayo pakua hiyo attachment
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwny fani isiyohus hesab au inategemea?General knowledge. Maswali yanajumuisha lugha, hesabu, biology, physics, geography, civics, ...n.k. mfano wa maswali hayo pakua hiyo attachment
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye fani ya hesabu Kuna idioms za kufa mtu na essay ..ni general, jua methali, nahau, riddle. Hesabu ni za common sense. Nenda kama unaenda kariakoo kununua mananasiHata kwny fani isiyohus hesab au inategemea?
Sent from my Android phone
Hata kwenye fani ya hesabu Kuna idioms za kufa mtu na essay ..ni general, jua methali, nahau, riddle. Hesabu ni za common sense. Nenda kama unaenda kariakoo kununua mananasi
Sent using Jamii Forums mobile app

poa mkuu 

Usiogope usiwaze ni test ya kukupima IQ yako tu nilifanyaga hiyo kitu maswali yalikuwa mia baada ya kumaliza paper walijua kila kitu kuhusu Mimi na kazi nilipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hope ulikutana na Dada mmoja anaitwa ScolaMimi nimewahi kufanya aptitude cocacola tulipewa picha na vikatuni vinavyofanana tutoe tofauti zilizopo, kifupi usijiandae saana ww nenda ukiwa sobber bila expectations zozote naamini utafanikiwa!
Sent using Jamii Forums mobile app