Aptitude test ya NSSF kesho (31/12/2011) yavuja na kusambaa mitaani:

aaaah,wabongo now fikirieni kujiajiri,graduates kitaa ni wengi mno na waajiri ni wachache sana bila kufanya hv tutapata shida sana kwani hata mkiandamana serikali nayo haiwezi kuajiri wote kwani hata mishahara inachelewa kuonyesha kwamba haina fedha za kutosha,muwe wajasiriamali tu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…