Aptitude test ya Alistair group

Pepa moja mtu 4
 
Sijasingizia sehemu ila kama kwenye ajira lazima nifanye test ya math iyo ajira sitaki .
Huu ni uhaini tu sawasawa na ule wa kuikosesha serikali mapato kwa makusudi. Kuna kitu kinaitwa Skills Gap. Dawa ya hili tatizo ni special employee development programs tu..Mtu ukitaka kumuajiri mpe training tu kwanza.

Ndio maana kampuni zinazojielewa wanachukuaga graduates wanawapa training ya miezi mitatu mpaka sita kisha wanawapa mikataba. Huo ndio uungwana ila kukomoana na maswali ya hesabu hio sio sawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…