Aptitude test ya Alistair group

Nimefanya tarehe 15 july then tarehe 21 july wamenitumia email kuwa nimepass so nawait sijajua what next
 
Hapana Hawa jamaa hata ukifeli lazima wakutumie matokeo
Nimeandika kile kilichonitokea mimi, nilifanya test ya kwnza nikawa nimepungukiwa na marks chache wakanipa second chance ambayo matokeo yake sikuyaona mapaka nilipoomba kwa email wakanijubu tu kuwa samahani hukufikisha maksi tulizo tarajia toka kwa mtu kama ww. Ni ngapi walitarajia na ni ngapi nilipata ilibaki kwao. Hii siyo hadithi na recruitment agency ni INDEED na siyo wao Alistair kama ulipewa matokeo baada ya kufeli basi wewe ulikuwa na bahati.
 
Awa jamaa ni kampuni tu ya usafirishaji lakini interview zao ni konyo kama wanafanya usafirishaji wa kupeleka mizigo sayari ya Mars au Mwezini.
 
Yaani hizi test zao zinaboa kweli nimeshawahi jibu ni hatari mkuu huwezi jibu bila msaada
 
Wanakupa nafasi nyengine wengi wanashindwa ukijaza tafuta wasaidizi kama wawili mtaenda sawa
Mimi niliifanya test mwaka juzi ilikuwa ya ajabu sijapata kuona halafu nilikurupuka tu sikujiandaa sikutoboa,sasa hivi kila nikiomba wananipotezea tu.
Hivi wale jamaa wana salary scales kubwa au huwa wanapenda kusumbua tu watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…