Mimi niliomba nafasi ambayo sio sector yangu ndio maana nilisanda mda mrefu sana,kama ni kitengo chako unaitwa fastaUlifanikiwa kupita Mkuu hadi next stage ulichukua muda gani?
Maana kuna mdau huko juu ilienda 2014-2017
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye browser unafungua page kama tatu unaziandaa google then unaflow nayo tu,chamsingi ni speed na lughaBabu maswali yao ni online, ni very technical, unaulizwa swali kwamba, kitu flani kina maana sawa na kitu fulani, je ni kitu gani hicho?? Unapewa uchague A,B,C and D
Aah Sawa Sawa mkuu Nimekusoma Maana niliona tangazo halina deadline kila siku napitia hiyo page olaaaMimi niliomba nafasi ambayo sio sector yangu ndio maana nilisanda mda mrefu sana,kama ni kitengo chako unaitwa fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanatoaga ndani ya 3 za kazi kupitia email yako, kama ukifeli sahau kuomba tena kwao labda kama utaratibu wameubadilishaNimefanya aptitude ya Hawa jamaa inaenda Wiki ya 3 sijapata jibu.Kwa waliowahi kufanya naomba kujua wanatoaga majibu ya aptitude ndani ya mda gani?na wanatoaga majibu kwenye email au wanapiga simu??
Mimi ishapita wiki sijajibiwaMbona wanatoaga ndani ya 3 za kazi kupitia email yako, kama ukifeli sahau kuomba tena kwao labda kama utaratibu wameubadilisha
Umeangalia email yako vizuri mpaka kwenye spam?Mimi ishapita wiki sijajibiwa
Nimefanya aptitude ya Hawa jamaa inaenda Wiki ya 3 sijapata jibu.Kwa waliowahi kufanya naomba kujua wanatoaga majibu ya aptitude ndani ya mda gani?na wanatoaga majibu kwenye email au wanapiga simu??
Duuuh! Mim huwa wanaishia kusema tumeipata CV yako tuu! Af kimyaaa hata aptitude test situmiwiNimeangalia hakuna kitu
Ku scratch ballsMbali na kazi ya kalamu ya kuandika, je unaweza kuitumia kalamu hiyo hiyo kwa kazi gani nyingine?
Swali hilo.
Jaribu kuweka Sawa CV yako imshawishi muajiriDuuuh! Mim huwa wanaishia kusema tumeipata CV yako tuu! Af kimyaaa hata aptitude test situmiwisijui nina mkosi gani Yan. Hata NMB ni hiv hiv
Mbona CV yangu iko poa tuu! Na nimeitumia kufanya kazi Kama tatu hiviJaribu kuweka Sawa CV yako imshawishi muajiri
Aptitude ya hawa jamaa ni pasua kichwa nilishafanya mara mbili, mara ya kwanza waksema nilikaribia kupass hivo wakanipa chance ya pili, hapa bwana niliwashirikisha washikaji wawili mimi wa tatu, mmoja ana Diploma kutoka kilichokuwa chuo cha umeme Kidatu na Degree ya IT open university, wa pili ana degree ya nutritiona and Food science SUA, Nami nina graduate wa Tourism, mzee mtanange ukaanza wazee tukakomaa, majibu kuja nimekula ban, nikasema asante Alistair, asante INDEED recruitment agency UKUshafanya mkuu? Natakiwa nifanye kesho mkuu sasa hapa nawaza itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukigoogle hutoboi muda lazima ukuacheCha msingi andaa computer ya pili ya kugoogle na mtu mzuri wa hesabu wakukusolvia harakaharaka...Maswali yao utadhani unaenda kupewa udirector.
Aptitude ya hawa jamaa ni pasua kichwa nilishafanya mara mbili, mara ya kwanza waksema nilikaribia kupass hivo wakanipa chance ya pili, hapa bwana niliwashirikisha washikaji wawili mimi wa tatu, mmoja ana Diploma kutoka kilichokuwa chuo cha umeme Kidatu na Degree ya IT open university, wa pili ana degree ya nutritiona and Food science SUA, Nami nina graduate wa Tourism, mzee mtanange ukaanza wazee tukakomaa, majibu kuja nimekula ban, nikasema asante Alistair, asante INDEED recruitment agency UK
Inatakiwa uwe na speed sanaUkigoogle hutoboi muda lazima ukuache
Ukisha fail hawakupi matokeo na ukijaribu kuomba tena hawashughuliki na weweNilishawahi kufanya , nililetewa maswali ya Mathmatics and english . Ila sikuona marks yangu mpaka sasa.