Niliomba business development but nna back ground ya finance so wakanipanga junior accountant japokua mwishoni walimchukua dogo mmoja graduate.
Na logicMaswali ya hesabu,
Muwe watu kama wanne wenye uwezo wa kufikiri kwa haraka...Ushafanya mkuu? Natakiwa nifanye kesho mkuu sasa hapa nawaza itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaCha msingi andaa computer ya pili ya kugoogle na mtu mzuri wa hesabu wakukusolvia harakaharaka...Maswali yao utadhani unaenda kupewa udirector.
post zao huwa zinakaa sana na huwa wanahifadhi cv siku ikitokea unayofit wanakuita,mi niliomba 2014 nikaja itwa 2017 ilivyotokea ya accountsHizi post za lini ndugu hizi ndugu yangu me nimeomba mwezi WA 12
Nauliza Kama interview uliitwa lini maana hiyo nafasi nimeomba mpaka juzi kwenye page yao bado lipo post
Sent using Jamii Forums mobile app
post zao huwa zinakaa sana na huwa wanahifadhi cv siku ikitokea unayofit wanakuita,mi niliomba 2014 nikaja itwa 2017 ilivyotokea ya accounts
Hahah sijui mkuu ila kwenye cv nimeonyesha kama mimi ni mtzwanaweza kweli kukupeleka huko ??
Mozambique post mkuuKwani hizo post za lini uliomba me nimeomba za awamu hii bado hawajaita
Me niliomba future potential opportunities
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni zile post zimetoka mwaka Jana Mwishoni auKuna washkaji tulikua tunatafuta kazi na wao hawakujua hata kama kuna kampuni inaitwa alistair. Nikawajulisha ishu ilivyo na test yangu ailikuaje.
Daa wakaniambia ngoja tuandae kamati wakawa wanafanya mtihani mmoja watu wanne. Maswali mengine wana google aisee walipita mtihani ule kama wamesimama
Kikubwa mkuu usitegemee google ya kichwa chako ingia na google yenywe
Hapana hizi zilikua za mwaka 2018
Ulifanikiwa kupita Mkuu hadi next stage ulichukua muda gani?Hapana hizi zilikua za mwaka 2018
Ulifanikiwa kupita Mkuu hadi next stage ulichukua muda gani?
Maana kuna mdau huko juu ilienda 2014-2017
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu kumbe kila mtu na bahati yakeHaikuchukua muda mrefu, hata mwezi haukuisha na waliitwa next stage