M mdawi Member Joined Mar 16, 2012 Posts 20 Reaction score 4 Apr 1, 2012 #1 Wana JF salam sana, nawakumbusha kuweni makini leo ni April Mosi ni sikukuu ya wajinga huwa inaisha saa 4 asubuhi. Alamsiki
Wana JF salam sana, nawakumbusha kuweni makini leo ni April Mosi ni sikukuu ya wajinga huwa inaisha saa 4 asubuhi. Alamsiki
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,552 Reaction score 21,685 Apr 1, 2012 #2 mdawi said: Wana JF salam sana, nawakumbusha kuweni makini leo ni April Mosi ni sikukuu ya wajinga huwa inaisha saa 4 asubuhi. Alamsiki Click to expand... Umesikia kuwa raisi wa awamu ya tatu amezimia ghaflaakati akiwa arumeru na hivi sasa ameshaletwa mjini hapa kwa helicopter ya CDM, Mustakabali wa hali yake utaelezwa kesho asubuhi saa mbili TBC na mweshimiwa lusinde
mdawi said: Wana JF salam sana, nawakumbusha kuweni makini leo ni April Mosi ni sikukuu ya wajinga huwa inaisha saa 4 asubuhi. Alamsiki Click to expand... Umesikia kuwa raisi wa awamu ya tatu amezimia ghaflaakati akiwa arumeru na hivi sasa ameshaletwa mjini hapa kwa helicopter ya CDM, Mustakabali wa hali yake utaelezwa kesho asubuhi saa mbili TBC na mweshimiwa lusinde