apps za android

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,488
Reaction score
1,281
hallo wananchi,ninapata shida kidogo juu ya kupata application za android hasa compatible kwa i-phone na samsung galaxy,kwa anayefahamu tafadhali anidondoshee hizo link hapa chini kama comment,natanguliza shukrani zangu------------free applications prefferably
 
unamaanisha nini hapo hujajieleza vizuri, unahitaji application za Android au Iphone maana hivi ni vitu viwili havina uhusiano... website hii hapa ya application za Iphone na zote ni bure ila Iphone yako iwe tu jailbroken',,,,, ( apptrackr » home )
 
App za Android haziwezi kufanya kazi iPhone, Operating System tofauti. Fungua App ya Market kwenye simu yako utapata App zote. Au nenda https://market.android.com/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…