GoldenDude
Member
- Jan 14, 2021
- 19
- 14
1. Friendly Ig ;hii app inakupa uwez wa kuperuzi(surfing) on Ig bila automatic video play na inakupa uwez wa kudownload picha Mnato na tembezi:utasevu Sana
2. Quora:ni app inayokupa insights mbali na life skills katika aspects mbali mbali za maisha ;cha kufanya ni kufollow spaces mbali mbali kulingna na unachokipenda note:Hutumia lugha ya kingereza
3. Music match :ni app nzuri ya kusikilizia mziki ;utapata lyrics , base adjustment, na kuidentify wimb kama ilivo Shazam
Ongezea zingne
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app