Sidhani kama ukiroot simu inakuwa faster, labda kama kuna mods umefanya.
Na pia app za root ni nyingi labda useme upo interested na nini
Start with Titanium Backup, Greenify,Adaway,Es File Manager,Link2Sd .RomManager
titanium backup inafanyaje kazi? msaada
wataalam wa It..
nimekuwa nikiona thread nyingi za watu wakitaka kuroot simu zao...
lakini wakiwa hawa sababu maalumu inayomfanya a rooted simu yake..
au ni apps gani anazipata na ku enjoy baada ya simu kuwa rooted 100%..
Nime Root simu yangu samsung galaxy S4..
Nilichoona kimebadilika ni simu yangu imekuwa faster sana,,
Bt watalaamu mnaweza mkatusaidia na kwa faida ya wengine... baada ya ku root simu ni apps gani nzuri unazoweza kuziweka kwenye simu na kufurahia matumizi ya simu..
na faida ya hiyoo app..
ymollel
Chief-Mkwawa
Yeap ni kweli kuna baadhi ya simu ukiRoot zinakuwa faster katika kuBOOT, yaani inawaka haraka kuliko ilivyokuwa UnRooted. vitu utakavyo enjoy baada ya kuROOT ni pamoja na:-
-utaweza kucheza na system files (hii ni hatari) na vitu kama vile kutoa sounds ambazo huwa ni default, kubadili boot image etc.
-unaweza kuweka Antitheft software, hard reset proof kama vile avast
-Unaweza kuInstall custom recovery kama vile CWM.
-Unaweza KuInstall apps za kuzuia matangazo
Thanks mkuu nimekueelewa sanaa..!!
asante sanaa
nna tecno y4 nimeiroot na nime uninstall built in apps nyingi mno nimebaki na zile apps muhimu tu...playstore nimeiondoa pia nikitaka apps naingia kwa browser natafta apk file husika....simu imekua fasta ktk ku boot na system ram iko less exhausted..yaani used haizidi 400mb out of 1024mb
hehehe umetisha mkuu hadi playstore umeichomoaaaa hehehe.. nouma sanaaaaa....