Promethazine
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 262
- 260
Habari ya siku hii watu wa humu.
Kwetu majamaa hawa wanawake tumepewa zawadi nzuri sana humu duniani, yaani wadada hasa wakiwa bado wabichi in 20's wanakuwa ni warembo sana!!!!
Salute kwenu warembo mnatupa faraja iliyotukuka!!!! Hili ni pambo moja zuri sana katika huu ulimwengu, Kila siku tunalalamika ila hatuachi mara Fulani katoa edge 7+, Mara mwingine gari, hayo yanaitwa sweet pain, tunaumia lakini hatuachi, hii inaitwa sikomi!!!
Kuna wadada warembo ukimuona mpaka unahisi moyo unaelea, msituchoke tunaobangaiza maisha mkakimbilia kwa wenye madolari tuu, hata sisi tunawataka!
Nisiwe mchoyo wa shukrani, Mwenyezi Mungu fundi bwana!!