APPLICATIONS ZA VYUO VYA KILIMO 2018/2019

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,003
Reaction score
104,451
Mpaka sasa hakuna chuo cha kilimo ambacho kimetoa matokeo ya maombi ya kujiunga na certificate/diploma za kilimo. Kuna nini? Inaonekana kama kuna usiri wa aina fulani, maana tulitegemea kuwe na public announcements kwenye website zao etc. Kuna nini? Vijana wanaomba kujua matokeo ya maombi yao.
 
Vyuo vya mifugo vya serikali vilivyopo chini ya LITA vimeshatoa selection zao
 
Vyuo vya mifugo vya serikali vilivyopo chini ya LITA vimeshatoa selection zao
Vyuo kama Ilonga, Mtwara, Katrin, Uyole etc sioni matokeo ya certificate... kama vile kuna kitu wanaficha. Ukiwapigia unaona wanatoa majibu ya mashaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…